Haina haja ya kwenda tawini, simamia akaunti yako ukiwa popote, weka akiba kutoka mitandao ya simu, tuma pesa kwenda benki nyingine. Lipa bili BURE, pata bima na mikopo ya papo hapo.

Piga *150*03#

SimBanking

USSD

Tuma pesa

kwenda benki

nyingine

Chagua 2 "Tuma pesa"Chagua 3 "Benki nyingine"Chagua akaunti ya kutuma

Chagua Benki unayotaka kutuma

 

 

Piga *150*03#

Lipa Bima fasta

bila stress

Chagua 4 "Lipa Bili"Chagua 8 "Bima"Chagua mota huduma

 

 

 

Piga *150*03#

Hakiki Taarifa

ya hadi Mwaka mzima

Chagua 1"Akaunti yangu"Chagua 3 "Taarifa kamili"Chagua akaunti

Chagua kipindi

Weka barua pepe

 

 

Piga *150*03#