Pakua Mzigo

Haina haja ya kwenda tawini, fungua akaunti, weka akiba kutoka mitandao ya simu. Lipa bili BURE, pata bima na mikopo ya papo hapo.

App ya

SimBanking

 

Jinsi ya kupakua

App ya SimBanking

Pakua mzigo mpya wa App ya SimBanking unaokupatia uhuru wa kutosha kufanya shughuli zote za kibenki ukiwa mwenyewe popote pale, muda wowote bila kufika tawini.

Pakua Mzigo

Jifungulie Akaunti

ukiwa popote

 

Bonyeza "Sina Akaunti ya CRDB" kisha endeleaKubali Vigezo na MashartiWeka namba yako ya simu

Weka namba yako ya NIDA

 

Pakua Mzigo

Pata Bima

Papo hapo

 

Bonyeza "Malipo" Kisha bonyeza "Bima"Kisha chagua huduma ya Bima unayohitaji

 

Pakua Mzigo

Hakiki Taarifa

ya hadi Mwaka mzima

 

Bonyeza "Taarifa ya akaunti"Chagua aina ya Taarifa unayohitaji kuhakikiChagua akaunti unayotaka kuhakiki Taarifa

Chagua kipindi (Tarehe ya kuanza na kuisha)

Kisha ingiza anwani ya barua pepe

 

 

Pakua Mzigo