Pakua Mzigo

Haina haja ya kwenda tawini, fungua akaunti, weka akiba kutoka mitandao ya simu. Lipa bili BURE, pata bima na mikopo ya papo hapo.

App Haijawahi Kuwa

Rahisi hivi!

Pakua mzigo mpya wa App ya SimBanking unaokupatia uhuru wa kutosha kufanya shughuli zote za kibenki ukiwa mwenyewe popote pale, muda wowote bila kufika tawini.

Pakua Mzigo

Jua Zaidi

USSD Imeboreshwa Zaidi

Piga *150*03# kupata mzigo mpya SimBanking unaokupatia uhuru wa kutosha kutuma pesa kwenda benki nyingine, kupata Bima na mikopo ya papo hapo.

Jua Zaidi